URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Chatguest ads
       *****************************************************
       #Post#: 2741--------------------------------------------------
       Tunaomba mchango wako wa hiyari kama mwanachama wa chatguest.
   DIR By: stakeholder
       Date: February 4, 2016, 12:54 pm
       ---------------------------------------------------------
       Ndugu mtumiaji wa chatguest.com tunaomba mchango wako wa hiyari
       kiasi kidogo tu cha pesa ili tupate pesa za kuendeshea mtandao
       huu ili ufikie malengo yake ya kujulikana na kupendwa na
       ulimwengu mzima.
       Tafadhari kama umeguswa na huduma ya chatguest na ungependa
       kuitumia chatguest bila kuona matangazo basi changia shilingi
       efu moja tu za kitanzania kwa tigo pesa 0652428852 au mpesa
       0756878929 namba yako itahifadhiwa kwenye maktaba ya chatguest
       ikitokea fulsa yoyote hapa chatguest wewe utakuwa wa kwanza
       kufikiriwa pia namba hiyo ndiyo itakayotumika kukutumia pesa
       mara ukishinda games au kualika watu wajiunge na mtandao huu au
       ukipata kura nyingi kwenye makala uliyoandika.
       Changia shilingi elfu moja tu leo hii uwekwe kwenye group la
       wahisani wa chatguest. kumbuka kutuma jina unalotumia hapa
       chatguest baada ya kutuma mchango wako. asante
       Karibu
       *****************************************************
       Page 1 of 1