URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
       *****************************************************
       #Post#: 2721--------------------------------------------------
       Mtandao wa kijamii unaoongoza tanzania na kumilikiwa na
       mtanzania ni chatguest.com
   DIR By: stakeholder
       Date: February 2, 2016, 3:36 am
       ---------------------------------------------------------
       Leo hii tunajivunia kuwa na mtandao wa kitanzania unaopendwa
       zaidi na watu wote duniani. chatguest.com ni mtandao wa kijamii
       wa kipekee unaomilikiwa na mtanzania. Zamani ilikuwa jamiiforums
       lakini kwa sasa chatguest imeuzidi mtandao wa jamiiforums kwa
       kupendwa na watu wengi pia chatguest inahuduma nzuri
       zinazomnufaishia mtumiaji wa mtandao wa chatguest kama kulipwa
       anapocheza games online, kulipwa anapoandika makala na kulipwa
       anapoalika rafiki ajiunge na chatguest.com.
       Mwanekano wa chatguest.com in mzuri kuliko jamii forums.
       chatguest inapokea matangazo mengi toka pande zote za dunia
       kwakua chatguest inatumia teknolojia ya hali ya juu kuuza nafsi
       za matangazo kwenye mtandao huo. Mtumiaji wa chatguest anaweza
       kujihudumia yeyemwenyewe katika kuandika tangazo na kulirusha
       kwenye mtandao wa chatguest wakati jamiiforums huwezi
       kutengeneza tangazo mpaka uwasiliane na mhudumu utume tangazo
       ndipo akuwekee kwenye mtandao wa jamiiforums.
       Bei za matangazo hapo chatguest.com ni ndogo sana ukilinganisha
       na mtandao wa jamiiforums au facebook au google au blog yoyote
       ile kama ya michuzi. kwanini watu wasiipende chatguest?
       Makala au posts zinazowekwa chatguest zinalengo la kuijenga
       jamii na sio kuibomoa kama ilivyo kwenye mitandao mingine ya
       kijamii tanzania.
       Endelea kutumia mtandao wa kijamii namba moja Tanzania ambao ni
       www.chatguest.com usiwe bubu humu ndani wewe toka ujiunge
       unasoma post za wenzio halafu hata kutoa mchango wa mawazo
       hutoi. Watu kama hawa wataanza kufutiwa account zao za uanachama
       wa chatguest. Tunataka tubaki na watu wenye michango ya mawazo
       kwenye jamii yetu ya chatguest.com
       *****************************************************
       Page 1 of 1