URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Na...
       *****************************************************
       #Post#: 2702--------------------------------------------------
       Unatafuta kazi? sema hapa uajiriwe kirahisi. usisubiri matangazo
       ya nafasi za kazi
   DIR By: HRM
       Date: January 29, 2016, 11:44 pm
       ---------------------------------------------------------
       Nafasi za kazi zipo tanzania lakini bila wewe muhitaji kujituma
       katika kutafuta kazi utachelewa kupata kazi au hutapata kabisa.
       Unatakiwa kutafuta kazi kwa kupeleka barua sehemu mbali mbali
       kwenye mashirika binafsi, shule au viwandani hata kama hujaona
       tangazo la nafasi za kazi.
       Pia kwenye mitandao andika ujuzi wako na kazi unayotafuta ili
       upate watu wanaojua nafasi hiyo ilipo. mfano hapa chatguest.com
       ukiandika kuwa unatafuta kazi ya afisa kilimo kuna watu humu
       wapo kazini wanajua ofisi fulani hakuna afisa kilimo au unaweza
       kubahatika kumpata na moja kwa moja mwajiri anayehitaji
       mfanyakazi.
       Andika sasa unatafuta kazi gani na umesomea kitu gani
       #Post#: 2797--------------------------------------------------
       kazi ya udereva
   DIR By: Nixa Estxon
       Date: February 14, 2016, 2:44 am
       ---------------------------------------------------------
       Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nina elimu ya kidato cha
       nne na ninasubiriamatokeo...naomba kaz ya udereva nina lesen
       class d ikiambatana na setficate ya udereva
       #Post#: 3282--------------------------------------------------
       Re: Unatafuta kazi? sema hapa uajiriwe kirahisi. usisubiri
       matangazo ya nafasi za kazi
   DIR By: deo tesha
       Date: October 7, 2016, 5:13 am
       ---------------------------------------------------------
       Naitwa Deogratius Tesha nmemaliza  form six 2015  nikasoma chuo
       mwaka mmoja masomo ya biashara University of Dar es salaam
       nikaacha natafuta ajira ya biashara na uzoefu nayo my
       email.deus448@gmail.com na my number 0654543790
       #Post#: 3379--------------------------------------------------
       Re: Unatafuta kazi? sema hapa uajiriwe kirahisi. usisubiri
       matangazo ya nafasi za kazi
   DIR By: Chuki
       Date: April 3, 2018, 10:37 pm
       ---------------------------------------------------------
       Natafuta kazi yoyote ya mtandaoni
       *****************************************************
       Page 1 of 1