DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Chatguest ads
*****************************************************
#Post#: 2666--------------------------------------------------
habari
DIR By: Clinton Mwende
Date: January 21, 2016, 12:16 am
---------------------------------------------------------
waziri wa elimu Pro Joyce Ndalichako afuta rasmi mfumo wa
kukokotoa matokeo ya kidato cha nne na cha sita kwa mtindo wa
G.P.A aagiza matokeo hayo yatolewe kwa mfumo wa zamani division
adai kua amefikia uamuzihuo baada ya baraza la mtihani necta
kushindwa kutoa utetezi wa kisayansi juu ya ufaulu kwa
wanafunzi.
#Post#: 2667--------------------------------------------------
Re: habari
DIR By: Wilson John
Date: January 21, 2016, 2:59 am
---------------------------------------------------------
Sasa swali la kujiuliza,hao necta wakati wakifanya maamuzi ya
kubadili mfumo wa upangaji wa matokeo kutoka wa DIVISION kwenda
wa GPA walikurupuka?
Na kama hawakukurupuka kwanini wasingetumia vigezo na maono yale
yale kumthibitishia Mh Waziri wa Elimu kuwa wapo sahihi katika
hilo?.
Nimeiona Taaluma kuingiliwa na Siasa na wanasiasa kuleta ujuzi
feki hongera mh Ndalichako kwa kuonesha wengi ni mazuzu wa
kupachikwa katika idara za serikali,ELIMU,ELIMU,ELIMU.
*****************************************************
Page 1 of 1