DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Makala Bora
*****************************************************
#Post#: 2589--------------------------------------------------
Ushauri kwa wanaotaka kulipwa haraka kwa kuandika makala kwenye
mtandao huu
DIR By: stakeholder
Date: January 9, 2016, 12:12 am
---------------------------------------------------------
Chatguest inatoa ajira kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kama
blogs facebook twitter jamiiforums na whats app. Hapa chatguest
hakuna kikomo cha kulipwa pesa. unaweza kulipwa hata 700000 kwa
mwezi kulingana na juhudi zako za uandishi wa makala zenye
manufaa kwa jamii yetu ya Tanzania na hata watu wa nchi nyingine
zinazotembelea mtandao wa chatguest.
Kuwa mbunifu katika kutunga makala zinazopendwa na jamii. Pia
makala zako ziwe zinatatua matatizo ya jamii. Jamii ina matatizo
mengi kama tatizo la uchumi, tatizo la ukosefu wa ajira,
migogoro ya kimapenzi, Ukosefu wa elimu kuhusiana na mambo
fulani fulani. Ukishabaini tatizo na kupata ufumbuzi wake basi
andika makala kuhusiana na tatizo hilo kisha weka ufumbuzi wa
tatizo hilo. Hakika kila atakayesoma lazima akupongeze kwa
kukupigia kura ambayo inakufanya wewe ulipwe pesa toka hapa
chatguest.
Fundisha mambo ya kiteknolojia, fundisha mambo ya kimapenzi, toa
taarifa mara tu unapoipata popote pale duniani, fundisha mada za
kilimo mfano jinsi ya kupanda nyanya aina ya tengeru 97, andika
dondooo za kuboresha ndoa au mapenzi na vitu vingine ambayo watu
kila siku wanatafuta kwenye google.
Kama wewe umesoma mpaka chuo lazima umetumia sana google kupata
majibu ya maswali uliyokuwa unaulizwa na walimu, sasa fikiria
ukiandika kitu ambacho wanafunzi wa vyuo vyote wanatafuta kwenye
google lazima wataiona makala yako na kukupigia kura ili ulipwe.
chukulia mfano rahisi kwa wanafunzi wote wanaosoma kozi ya
kilimo wakawa wanatafuta jinsi ya kuotesha uyoga halafu wewe
umeandika makala inayofundisha jinsi ya kuotesha uyoga lazima
waipate makala yako a kuisoma kisha watakupigia kura ili ulipwe.
Andika sasa makala ulipwe.
*****************************************************
Page 1 of 1