DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ri...
*****************************************************
#Post#: 2523--------------------------------------------------
Blog yako ina miaka mingapi toka uifungue na imekuingizia kipato
kiasi gani?
DIR By: master
Date: November 12, 2015, 11:48 am
---------------------------------------------------------
Naanzisha mada hii mahususi kwa wamiliki wa blogs. Siku hizi
blog ni chombo cha habari kama tv radio au magazeti. Huwezi
kushangaa unapoona habari inayotangazwa ITV au TBc1 ulishaiona
mapema kwenye blog. mfano ajari iliyotokea kijijini kusiko na
mawakala au waandishi wa habari wa tv wala redio ni rahisi
kuipata kwenye blog ya mtu binafsi yoyote yule aliyekuwepo
kwenye tukio na anasimu yenye uwezo wa kuchukua picha nzuri na
kuiweka kwenye blog yake.huu ndiyo umuhimu wa blogs kwa wakati
huu. sasa kutokana na umuhimu wake wewe blogger umetambua kuwa
una chombo cha habari ambacho unaweza kujiajiri wewe na
ukawatengenezea wengine ajira? unafanya jitihada gani kuiwezesha
blog yako ikuingizie mamilioni ya pesa kwa mwezi? karibu
tujadili na tuongezeane ujuzi kuhusu jinsi tunavyoweza
kufanikiwa kimaisha kwa uanzishaji blog zenye manufaa kwa jamii
yetu. sikuhizi watu wanatafuta habari na kutatua matatizo yao
kupitia tovuti.
*****************************************************
Page 1 of 1