DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ma...
*****************************************************
#Post#: 2507--------------------------------------------------
Embu cheki kisa hiki cha wapenzi kimetokea nyumba ya jirani
DIR By: koku
Date: November 11, 2015, 2:06 am
---------------------------------------------------------
Dada moja kaolewa na fundi seremala. Alimwomba mumewe
amtengenezee kabati la kuuzia vitumbua na mihogo. Sasa mumewe
akamtajia bei kama anavyofanya kwa wateja wake. Dada akampa pesa
mumewe akaanza kusubiri hako kakabati ili aanzishe biashara yake
ya kuuza mihogo na vitumbua. hawa ni wanandoa ujue wamefunga
ndoa kanisani Roma. Wana watoto 2 wote wapo sekondari.
Mume kala hela mpaka leo miezi miwili kabati hachongi. Akiambiwa
vipi baba anasema ukitaka hela yako ntakurudishia usinisumbue.
Hapa nani anakosa?
*****************************************************
Page 1 of 1