DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ma...
*****************************************************
#Post#: 2494--------------------------------------------------
Dalili za kuachwa hizi hapa
DIR By: snow95
Date: November 10, 2015, 6:06 am
---------------------------------------------------------
1.wewe ndo mzungumzaji zaidi pindi mnapokua wawili
2.Anakua bize na cm au kitu chochote kile ilimradi tu asiongee
3.ukipiga simu inaita kwa muda mrefu halafu ndo inapokelewa
4.ukituma message unajibiwa kwa herufi kama 'K'na
emoticons/emoji za kutosha mkiwa whatsapp
5.akipokea simu lazima akwambie ''nipo discussion'' au kuna
dharula
6.akiwa anatembea akikuona kwa mbali anageuza njia aukupita
upande wa pili wa barabara
7.mkiwa kwenye watu wengi ana act very strange kama hajawahi
kukuona
8.Daima hakupigii simu, hakutumii message wala hakubip
9.Mpigaji ni wewe daima
10.ane struggle kwaajili ya kuokoa penzi lisivunjike ni wewe
KILA MMOJA AONGEZE DALILI HATA MOJA HAPA CHINI ILI KUSAIDIA
KUOKOA MUDA WAWATU HUMU NDANI NA KWENYE JAMII ;) ;)
#Post#: 2554--------------------------------------------------
Re: Dalili za kuachwa hizi hapa
DIR By: koku
Date: December 19, 2015, 1:23 am
---------------------------------------------------------
Ukimwomba sex anajibuje?
*****************************************************
Page 1 of 1