DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Jukwaa la elimu Tanzania
*****************************************************
#Post#: 1897--------------------------------------------------
Orodha ya majina ya waliochaguliwa TCU kujiunga na vyuo vikuu
2015/2016 imetoka?
DIR By: stakeholder
Date: July 7, 2015, 4:11 am
---------------------------------------------------------
Orodha ya majina ya waliochaguliwa TCU kujiunga na vyuo vikuu
2015/2016 Bonus post
Habari ndugu msomaji uliyetuma maombi na ambaye bado hujatuma
maombi ya kujiunga na vyuo vikuu mwaka wa masomo 2015/2016. Una
shauku ya kujiunga na elimu ya juu mwaka 2015.
Jisajiri na mtandao huu utumiwe Taarifa kwenye email yako
kuhusiana na majina hayo mara tu yatakapotangazwa na idara
husika yaani TCU Bonyeza hapa kujiunga ni bure na ni dakika
mbili tu.
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1
Faida nyingine unazopata kwa kujiunga na mtandao huu kwanza
utaweza kupata marafiki toka vyuo vyote Tanzania na nje ya
Tanzania. Pia utalipwa pesa wakati wote hata ukiwa masomoni
yaani ukicheza games unalipwa, ukialika rafiki ajiunge na
mtandao huu unalipwa ukiandika makala ya kuelimisha jamii
unalipwa na fulsa nyingine kede kede zipo hapa chatguest.com
Jiunge sasa kwa urahisi na ni dakika mbili tu bonyeza hapa
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1
Kwanza kabisa tunapenda tujadili kidogo kuhusu uchaguzi wa kozi
za kusomea chuo kikuu. Wengi wetu tumekuwa tukisomea vitu
ambavyo tukihitimu kozi hiyo tunajikuta hatuajiriwi na mbaya
zaidi tunashindwa kujiajiri wenyewe kupitia elimu tulioipata.
Orodha ya majina ya walicochaguliwa TCU kujiunga na vyuo vikuu
2015/2016 ikitoka na ukajikuta umechaguliwa kujiunga na chuo
kikuu basi mshukuru Mungu kisha jipange kwa mawili moja
kujiajiri baada ya kumaliza chuo mbili ni kuajiriwa.Si jambo
jipya kusikia wasomi wenye shahada au stashahada hawana kazi
miaka hata kumi toka wamalize vyuo wapo mtaani hawajui wafanye
nini ili kujikimu na maisha. Maandalizi mazuri yanaanza toka
sasa katika kuchagua kozi ya kusomea. Mfano kama TCU imekupa
vyuo viwili yaani chuo kimoja unatakiwa ukasomee ualimu na chuo
kingine unatakiwa ukasomee sheria hapa kwa haraka haraka unaweza
kuchagua kwenda kusomea sheria ukijidanganya kuwa baada ya
kumaliza tu elimu yako utapata kazi na kuwa na maisha mazuri.
Wrong choice katika uhalisia wa ajira kipindi hiki. Ungesomea
ualimu pengine ungepata kazi mapema sana baada ya kumaliza elimu
yako.
Katika kuchagua nini cha kusomea chuo kikuu fanya utafiti mkubwa
namna utakavyojiajiri au kuajiriwa baada ya kuhitimu mafunzo
hayo vinginevyo utajuta kwanini ulienda kusomea kozi hiyo chuo
kikuu. Hapa sina maana kuna baadhi ya kozi hazina soko lahasha
kozi zote zina soko kulingana na aina ya mtu aliyesomea kozi
hiyo. Kama wewe baba yako ana kampuni la utalii kwanini usiende
kusomea utalii ili ukimaliza chuo ufanye kazi kwenye kampuni ya
baba yako? Lakini mwenzangu ambaye baba yako ni mwalimu
anakushauri ukasomee ualimu halafu wewe unasema "baba mimi
sitaki ualimu kwakua haulipi" Kwanza ningekuwa na uwezo
nigekutukana lakini siwezi kukutukana kwakua vyombo vya dola
vitanishikilia kwa kukutukana. Hivi ualimu kama haulipi wewe
ungesomeshwa na baba yako mpaka hapo ulipofika?.
Twende kwenye maisha ya chuoni sasa. Hapa sasa kijana uliyetoka
shule ukisimamiwa kwa kila kitu sasa unajisimamia mwenyewe.
Kusoma unajiamlia mwenyewe usome au uende disko. Kula unaamua
ule nini ule wapi na ule muda gani, Hata kulala unaweza kuamua
ulale saa ngapi na ulale wapi hakuna atakayekuja na fimbo
kukulazimisha kufanya kitu fulani kwa ajili ya manufaa yako sasa
ukisema huu ndo muda wa kujiachia kwakua upo huru utapoteza dira
ya maisha kabisa. Wapo wanaosema aaah mbona chuo kikuu simple tu
si kama sekondari kupiga msuli mpaka mida ya usiku, Ule msuli
uliotumia sekondari utumie chuo kikuu tena ikiwezekana ongeza
lakini angalia usichanganyikiwe kwa kusoma.
Kumbuka kujiunga na mtandao huu kwa kubonyeza hapa
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1<br
/>ili uweze kufaidika na mengi pamoja na kutumiwa Taarifa kwenye
email yako mara tu TCU itakapotoa orodha ya majina ya
waliochaguliwa TCU kujiunga na vyuo vikuu 2015/2016
#Post#: 2305--------------------------------------------------
Re: Orodha ya majina ya waliochaguliwa TCU kujiunga na vyuo
vikuu 2015/2016 imetoka?
DIR By: MASINDE JUSTINE
Date: September 29, 2015, 2:28 am
---------------------------------------------------------
MAJINA LINI YA WALIOCHAGULIWA NA TCU KUJIUNGA NA VYUO VIKUU
#Post#: 2313--------------------------------------------------
Re: Orodha ya majina ya waliochaguliwa TCU kujiunga na vyuo
vikuu 2015/2016 imetoka?
DIR By: stakeholder
Date: October 3, 2015, 12:07 am
---------------------------------------------------------
Ukiona jina lako lipo kwenye link kati ya hizi unatakiwa kuaply
upya second round reapplication kwenye tovuti ya tcu
Majina A mpaka H angalia kwenye link hii
HTML http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group%20(A_H).pdf
Majina I mapaka L angalia kwenye link hii
HTML http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group%20(I_L).pdf
Majina M Mpaka N angalia kwenye link hii
HTML http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group%20(M_N).pdf
Majina O mpaka Z angaia kwenye link hii
HTML http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Gruop%20(O_Z).pdf
Muhimu soma Tangazo lao Toka TCU kwenye link hii
HTML http://www.tcu.go.tz/images/pdf/2nd%20round%20application%202015_Amended-.pdf
Endelea kutumia mtandao wa chatguest kila siku ulipwe pesa kila
unapocheza games na kushinda pia unalipwa kwa kila mtu
utakayemwambia ajisajiri kwenye mtando huu wa kijamii na
unalipwa kwa kila mada au makala utakayoiandika kwenye mtandao
huu.
*****************************************************
Page 1 of 1