DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
*****************************************************
#Post#: 1894--------------------------------------------------
Ratiba ya mtihani wa kidato cha nne 2015 soma hapa
DIR By: stakeholder
Date: July 5, 2015, 4:55 am
---------------------------------------------------------
Ukweli kuhusu ratiba ya mtihani wa kidato cha nne 2015. (Form
four examination timetable 2015)
Inawezekana umesikia mengi kuhusu ratiba ya mtihani wa kidato
cha nne 2015 wapo wanaosema mwaka huu mtihani utafanyika kabla
ya uchaguzi mkuu yaani mwezi wa tisa lakini habari nyingine
zinasema mtihani huo utafanyika mwezi Novemba. Endelea
kufuatilia hapa hapa chatguest.com kujua ukweli kuhusu ratiba
hiyo kulingana na idara husika inavyotangaza yaani NECTA
Unashauriwa ujiunge na mtandao huu ili uweze kupata taarifa
kwenye email yako. Bonyeza hapa kujiunga ni dakika mbili tu na
ni bure kabisa
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1.<br
/>Faida nyingine unayopata kwa kujiunga na mtandao huu ni kwamba
unapata pesa kila unapoandika makala yenye manufaa kwa jamii na
unalipwa kwa kila rafiki utakayemwambia ajiunge na mtandao huu
mkubwa wa wanafunzi, walimu na wadau wengine wa elimu Tanzania
na duniani kwote. Bonyeza hapa kujiunga sasa
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1.
Unataka kujua Ratiba ya mtihani wa kidato cha nne 2015 ili
ufanye maandalizi mazuri kabla ya kufanya mtihani huo. Upo
sahihi kabisa kama wewe ni mwanafunzi au mwalimu unayewaandaa
wanafunzi wako. Ratiba itakufanya ujue uende kwa spidi gani ili
ukamilishe maandizi yako kukabiliana na mtihani huo.
Ushauri kwa mwanafunzi, Huu si muda wa kucheza tena, achana na
mambo yatakayokufanya ufeli mtihani huo muhimu. Hakuna cheti cha
muhimu katika elimu ya Tanzania kama cheti cha kidato cha nne
kwahiyo hakikisha unafanya vizuri kwenye mtihani huo ili
usichafue cheti cha kidato cha nne au kukikosa kabisa. Pia
fuatilia mafunzo kupitia mtandao mbinu za kufaulu mtihani kwa
kubonyeza hapa
HTML https://somahapa.wordpress.com/2015/05/02/mbinu-kumi-za-kufaulu-mtihani-hata-kama-hukujiandaa-vizuri-fuatilia-mafunzo-haya-kama-ni-mwanafunzi-lazima-utafaulu-tu-ili-kufuatilia-mafunzo-haya-mpaka-mwisho-tuma-neno-mtihani-kwenda-075687892/
Tumia mtandao huu kuuliza maswali yanayokutatiza badala ya
kwenda facebook kupoteza muda kwa kujadili upuzi na kutumiana
picha tu. Mitandao ya kijamii inaweza kukusaidia kuinua ufaulu
wako shuleni kama tu utaitumia vizuri. Mfano hapa chatguest
ukiandika swali lako litasomwa na wanafunzi zaidi ya laki moja
na walimu zaidi ya elfu 20 shule tofauti Tanzania hivyo utapata
jibu sahihi la swali lako. Ewe mwalimu pia unaombwa kusaidia
watoto wetu kwa kuwapa majibu ya maswali wanayouliza kwa faida
ya Taifa letu. Elimu ni msingi wa maendeleo ya nchi hivyo
hakikisha umejiunga na mtandao huu kwa kubonyeza hapa
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=1
Baada ya kusema hayo taarifa tulizonazo kwa sasa kulingana na
NECTA
HTML http://www.necta.go.tz/files/TANGAZO_FINAL_CSEE_2015.pdf
ni
kwamba mtihani huo utafanyika mwezi novemba 2015 kwahiyo
tembelea chatguest.com kupata taarifa za mabadiliko kama
zitakuwepo na kutolewa na idara husika zinazohusika na mitihani
ya Taifa kwa sasa unaweza download ratiba hiyo hapo chiniKumbuka
chatguest inatoa taarifa tu kutoka vyanzo vingine vya kuaminika
vya habari, haihusiki na kuandaa ratiba za mitihani wala
mitihani ya aina yoyote. Endelea kutumia chatguest.com kila siku
kupata pesa na habari ya ratiba ya mtihani wa kidato cha nne
2015
*****************************************************
Page 1 of 1