DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ma...
*****************************************************
#Post#: 1887--------------------------------------------------
SEHEMU 12 AMBAZO HUMSISIMUA MWANAMKE UKIZIFANYIA KAZI NZURI
KITANDANI
DIR By: The Marvel
Date: July 2, 2015, 5:05 pm
---------------------------------------------------------
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa
juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi
pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi
wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole
pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye
matako) ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa. Kutegemea umbo
lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti
yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji
yakiongezeka kwenye uke.
Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya
vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na
kuinuka. Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina
ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi.
Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha
kidole juu ya kinembe, pandisha na kushusha kidole chako na hapo
unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla
ya hujaiingiza uume.
Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri
kupigapiga eneo la kinembe na hii huufanya uume kuwa wa moto na
unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili
kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80
huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa
kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke, sio rahisi
kwa uume kukifikia kinembe, hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume
kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue
kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa
uke wake. Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa
matiti yake utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba,
utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au
kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa
kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa
kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu
na utashangaa jinsi ambavyo mwanamke atapata burudani kwa
kuishughulikia vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani
ya mapaja yake, fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja
yake.
8. MATAKO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba,anza kwa
kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia
vidole.
9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho
baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya
tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya
mahaba na huku ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza
kumbusu midomo yake, mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie
amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.
12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana
ikibonyezwa bonyezwa, sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango
wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa
na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapizi mara mbili au
zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya kumfikisha
mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na
kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke, sehemu hii imekaa
kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri
inavyobonyezwa.
Mwanamke anawezakujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi
kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 ni muhimu. Suala
lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na
uhuru wa kuambiana jinsi ya kuridhishana ktk tendo
*****************************************************
Page 1 of 1