DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Ma...
*****************************************************
#Post#: 1856--------------------------------------------------
Una mchumba? Utajuaje kama anakupenda kweli? Soma hapa
usidanganywe tena
DIR By: CGMarketing
Date: June 16, 2015, 10:51 am
---------------------------------------------------------
Mapenzi ndio kila kitu dunia ya leo. Ukikosa kupendwa
utasononeka sana. Je utajuaje kama mpenzi uliyenaye anakupenda
kwa dhati kama anavyosema mdomoni? Zipo njia kadhaa za kujua
kama mpenzi wako au mchumba wako anakupenda. Unaweza kuangalia
matendo anayokufanyia. Lakini hiyo haitoshi hasa hasa unapoanza
kuchagua mchumba au mtu wa kumtongoza.
Njia hii ya kutumia kompyuta yako itakusaidia kumjua mtu yoyote
yule hata ambaye bado hujamtongoza utajua kwa kiasi gani
mtaendana nae na atakupenda kwa asilimia ngapi. Hii njia ni ya
kisayansi kwahiyo hakuna siasa wala longolongo. Ukijua majina
mawili ya mtu huyo unayetaka umtongoze na kujua tarehe yake ya
kuzaliwa basi umemaliza ingiza data kwenye program kisha kokotoa
asilimia ngapi unapendwa au utapendwa. Kupata program hii bofya
hapa
HTML https://pakuahapa.wordpress.com/2015/06/16/sasa-unaweza-kujua-mpenzi-uliyenaye-anakupenda-kiasi-gani-na-mnaendana-kwa-asilimia-ngapi-kimapenzi-download-program-hii-kisha-weka-kwenye-kompyuta-yako-na-ukokotoe-mwenzio-anakupenda-kwa-kiasi-gani/
*****************************************************
Page 1 of 1