URI:
DIR Return Create A Forum - Home

habari
HTML https://habari.createaforum.com

DIR Return to: Ri...

#Post#: 1808--------------------------------------------------
Mada ya leo Nani anafaa kuanzisha/kumiliki na kuandika blog?
DIR By: Trainer
Date: May 28, 2015, 3:41 pm

Kutokana na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167)
chini Tanzania kukua kwa kasi imekuwa rahisi sana kuanzisha
blog
na kuanza kuandika habari na matukio ya kila siku.
Tatizo ni habari gani zinaripotiwa na mtu gani. Hali hii
inaitatiza tasnia ya habari nchini hadi wizara husika inalia na
upotoshaji wa maudhui ya habari kwenye miatandao ya kijamii.
Sasa leo tujadili hapa na kueleweshana hasa hasa kama wewe
unamiliki blog basi saidia kuelimisha jamii kwa kuchangia mada
hii.
Kwanini wana blogger wengi wanaripoti habari na sio kuandika
vitu vingine?
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
Kwa wenzetu blog
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
zilipoanza miaka ya 2006 walikuwa wakiandika habari binafsi
yaani mtu anafungua blog kwa jina lake na kuanza kuandika maisha
yake na vitu anavyo vifanya kila siku.
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
Baadae baadhi ya wajasiriamali waligundua kuwa blog ni chanzo
kizuri cha kutafuta masoko ya baishara hivyo walianza kutumia
blog kutangaza biashara zao. Wengine wakaenda mbali zaidi
wakaanza kutumia blog kama chombo cha habari hapo ndipo
watazania wengi walipojiungia na kuendeleza kuripoti habari kwa
kutumia blog. Kila anayefungua blog anaripoti habari za kitaifa
hata kama hana habari anachukua kutoka kwenye blog nyingine au
kutoka redioni, TV na magazeti. wachache sana wanaanzisha blog
za kutokuripoti habari za kila siku.
Ni kweli siku hizi unaweza usiwe na TV wala redio ukatembelea
blogs tu na utapata habari zote zilizotangazwa kwenye TV na
Redio hata baadhi ya vyombo vya habari vinachukua habari kutoka
kwenye blogs na kuzitangaza. Blogs,Tv redio na magazeti vyote
vinategemeana katika kupata habari.
Mada yetu inauliza nani anafaa kuanzisha/kumiliki na kuandika
blog? hapa tunamaanisha nini?. Wapo wanaodhani kuwa blogs
zinatakiwa kumilikiwa na watu waliosomea uandishi wa habari.
Watu wanaofikiri hivi wameitazama blog kama chombo cha habari.
Mtu mwingine ambaye hajasomea uandishi wa habari hafai
kumiliki/kuandika blog
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
kwakua hajui maadili ya uandishi wa habari. Je wewe mtazamo
wako
ni upi? changia hoja kabla kabla wabunge hawajawaza na  kupeleka
mswada bungeni wa kusajili blog zote TCRA
HTML http://www.chatguest.com/index.php?action=refferals;refferedby=167
kwa vigezo vya mtu anayemiliki blog na kuripoti habari awe ni
mtu aliyesomea fani ya uandishi wa habari.

Page 1 of 1