DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: <span style="color: #123aab; font-weight: bold;">Na...
*****************************************************
#Post#: 1668--------------------------------------------------
Ajira muda wa ziada uandishi kwenye websites/blog mtu yoyote
anaweza tuma maombi
DIR By: stakeholder
Date: April 28, 2015, 2:51 pm
---------------------------------------------------------
Ajira ajira Ajira Muda wa ziada.
Una simu yenye uwezo wa kutuma email? Kama ndiyo basi sasa
unapata ajira ambayo utakuwa unaifanya muda wa ziada mtandaoni.
Utalipwa vizuri kwa kazi hiyo ya uandishi kwa kutumia email
yako. Email yoyote inakubalika japo email ya gmail inafaa zaidi
Sasa teknolojia ya habari na mawasiliano itakuwa ndiyo ajira
yako.
Watu gani wanahitajika kufanya kazi hii muda wa ziada?
Mtu yeyote anayevutiwa na kuandika makala, habari, hadithi, au
kitu chochote kile na kupost kwenye blog au website anafaa
kufanya kazi hii.
Huna haja ya kuwa na kompyuta kwani utatumia simu yako ambayo
huwa unatumia kusomea email na kutuma emails.
Masharti ya kazi
1.
kutofuata sharti hili kutakufanya ukose malipo kama hukutoa
taarifa mapema.
2.
chenye manufaa kwa jamii.
Malipo
Utalipwa kwa kila anayeisoma blog uanyoandika. Formula blog
ikisomwa mara 1000 unalipwa sh.2000 na kiwango cha chini cha
kutumiwa pesa ni unapofikisha shilingi za kitanzania 100,000 na
pesa zinalipwa kupitia Mpesa, Tigopesa na Airtel money kwa sasa.
Namna ya kutuma Maombi
Andika ujumbe mfupi ukielezea unapendelea kuandika mambo gani
mfano inaweza kuwa ushauri, mapenzi, michezo, kilimo, burudani,
kuripoti habari za kila siku, teknolojia au vitu vingine
unavyopendelea kuandika. Orodhesha vitu vitano ukianza na
unachokipenda zaidi. Kisha tuma kwenda mkuublog@gmail.com
Karibu utajirike kwa uandishi wa blog
Tangazo hili limetolewa na Kikundi cha chatguest
#Post#: 1690--------------------------------------------------
Re: Ajira muda wa ziada uandishi kwenye websites/blog mtu yoyote
anaweza tuma maombi
DIR By: ngata
Date: May 4, 2015, 10:50 am
---------------------------------------------------------
Unatuma kwa kutumia email ya chat guest au??
#Post#: 1706--------------------------------------------------
Re: Ajira muda wa ziada uandishi kwenye websites/blog mtu yoyote
anaweza tuma maombi
DIR By: akida
Date: May 10, 2015, 11:01 pm
---------------------------------------------------------
Napenda kuandika kuhusu: Teknolojia ,ushauri, mapenzi, michezo,
kilimo na burudani
#Post#: 2017--------------------------------------------------
Re: Ajira muda wa ziada uandishi kwenye websites/blog mtu yoyote
anaweza tuma maombi
DIR By: Latty32
Date: July 21, 2015, 1:38 am
---------------------------------------------------------
Napenda kuandika kuhusu Kilimo,matukio,maisha,ushauri na
burudani
#Post#: 2018--------------------------------------------------
Re: Ajira muda wa ziada uandishi kwenye websites/blog mtu yoyote
anaweza tuma maombi
DIR By: chilel32
Date: July 21, 2015, 1:42 am
---------------------------------------------------------
Napenda kuandika kuhusu nafasi za ajira,matukio,burudani,sehemu
za kulala wageni na ushauri
#Post#: 2414--------------------------------------------------
Re: Ajira muda wa ziada uandishi kwenye websites/blog mtu yoyote
anaweza tuma maombi
DIR By: THADEO J KYOMBO
Date: October 31, 2015, 5:04 am
---------------------------------------------------------
NINAPENDA KUANDIKA KUHUSU AFYA,MAPENZI,BURUDANI,MITINDO,MICHEZO
NA MAPISHI ;D
*****************************************************
Page 1 of 1