URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       habari
  HTML https://habari.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: Jukwaa la elimu Tanzania
       *****************************************************
       #Post#: 1551--------------------------------------------------
       Andika chochote chenye manufaa kwa jamii ulipwe pesa chukua
       fulsa hii 
   DIR By: stakeholder
       Date: March 24, 2015, 7:35 am
       ---------------------------------------------------------
       Ndugu msomaji wa mtandao huu wa chatguest tunatambua kazi ya
       kuelimisha jamii kwa njia ya uandishi ndiyo maana tukaanzisha
       mradi huu wenye manufaa kwa wote wenye uwezo wa kutumia
       intaneti.
       Siku zote umekuwa ukitumia mitandao ya kijamii bila kufaidika
       kiuchumi yaani kupata pesa. Ila umekuwa ukitajirisha wamiliki wa
       mitandao hiyo kila saa ukiwa mtandaoni. Basi mtandao wa
       chatguest ni wa kipekee unalipwa kwa kila makala au mada
       utakayoandika popote pale kwenye mtandao huu.
       Vitu vya kuzingatia ili uweze kulipwa.
       1. Usikopi habari toka blog nyingine andika makala au mada yako
       mwenyewe
       2. Jitahidi kundika makala utakayopata mashabiki wengi toka
       facebook twitter google plus na sehemu nyingine mitandaoni
       kadili unavyopata mashabiki wengi ndivyo unavyopata pesa nyingi.
       3. Andika mada au makala yenye ukubwa wa kuanzia nusu ukurasa na
       kuendelea ili mashabiki wako wakukubali kwa ulichowaandikia
       Ushauri
       Andika makala za kufundisha kufanya kitu fulani mfano jinsi ya
       kufuga kuku wa kienyeji, makala za mapenzi, kilimo, uchumi,
       burudani, michezo au chochote kile unachokijua kutokana na fani
       yako
       Malipo
       Unalipwa kwa kila shabiki atakayeipenda makala yako
       250tsh/shabiki na pesa zako utapokea kwa simu mpesa au tigo pesa
       au airtel money au safaricom kwa wakazi wa kenya. Kiwango cha
       chini cha kutumwa pesa ni utakapofikisha 50,000
       Ukiwa na swali uliza hapa. Karibu utajirike
       *****************************************************
       Page 1 of 1