DIR Return Create A Forum - Home
---------------------------------------------------------
habari
HTML https://habari.createaforum.com
---------------------------------------------------------
*****************************************************
DIR Return to: Jukwaa la wanafunzi Tanzania (JUWATA)
*****************************************************
#Post#: 1501--------------------------------------------------
Jinsi ya kutazama matokeo kwa sms kwenye simu yako. Mpya toka
Necta
DIR By: mastory
Date: March 5, 2015, 12:42 pm
---------------------------------------------------------
Sasa unaweza kutazama matokeo yako ya kidato cha nne kwenye
simu yako utatumiwa sms inayoonesha matokeo yako. Soma zaidi
nanukuu toka necta
"BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
NAMNA YA KUPATA TAARIFA ZA MATOKEO KWA KUTUMIA UJUMBE MFUPI WA
SIMU.
Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) na QT 2014 yanaweza kupatikana
pia kwa njia ya
ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kwa kutuma kwenda namba 15311.
Jinsi ya kutuma ujumbe andika:
Matokeo
matokeo*centre number*candidate number*exam type*exam year
Mfano : matokeo*S1665*0041*k4*2014
matokeo*M0110*0003*qt*2014
Rank
rank*centre number*exam type*exam year
Mfano : rank* S0101*k4*2014
Gharama kwa SMS ni Tshs 200/=
Huduma hii ni kwa watumiaji wa mitandao ya Tigo,Vodacom na
Zantel tu."
Asili yake kutoka
HTML http://www.necta.go.tz/files/Namna%20ya%20kuona%20Matokeo%20kwa%20SMS-1.pdf
Share habari hii na wanafunzi wenzio waliopo facebook twitter
bonyeza hapo chini
*****************************************************
Page 1 of 1