URI:
   DIR Return Create A Forum - Home
       ---------------------------------------------------------
       BongoTv
  HTML https://bongotvuserforum.createaforum.com
       ---------------------------------------------------------
       *****************************************************
   DIR Return to: General Discussion
       *****************************************************
       #Post#: 2--------------------------------------------------
       Jitathmini kwa njia hii kujua baada ya miaka 5 utakuwa wapi?
   DIR By: admin
       Date: April 11, 2016, 2:37 am
       ---------------------------------------------------------
       Chukulia mfano huu kama ni uhalisia. " Kuna mashine mpya
       imeguduliwa, inaitwa TIME MASHINE. Kazi ya mashine hiyo ni
       kuwaonyeshesha watu maisha yao yatakavyo kuwa baada ya miaka 5
       ijayo, Sasa fikiria kwamba wewe imekuwa moja ya watu
       waliobahatika kujipenyeza na kupata nafasi ya kuingia katika
       mashine hiyo kutazama maisha yao yatakavyokuwa baada ya miaka
       mitano ijayo. NAOMBA UTUSHIRIKISHE MAMBO YAFUATAYO
       1. UMEJIONA UNAISHI KWENYE NYUMBA YA NAMNA GANI?
       2. UWEZO WAKO KIFEDHA UPOJE?
       3. JE! UNAJIONA UMEOA?
       4. JE! UMEJIONA UMETIMIZA MALENGO YAKO KWA KIASI GANI?
       *****************************************************
       Page 1 of 1